Home » » SOKO LA MITUMBA TANDALE LAUZWA KINYUME NA SHERIA

SOKO LA MITUMBA TANDALE LAUZWA KINYUME NA SHERIA

Wafanyabiashara ya mitumba wakiwa wamepanga bidhaa zao jana uku kipande cha soko hilo la mitumba lililopo Tandale Dar es salaam ikiwa inasadikiwa kuuzwa kwa mtu binafsi kinyume na sheria za masoko NCHINI

Wafanyabiashara ya mitumba wakiwa wamepanga bidhaa zao jana uku kipande cha soko hilo la mitumba lililopo Tandale Dar es salaam ikiwa inasadikiwa kuuzwa kwa mtu binafsi kinyume na sheria za masoko (picha kwa hisani ya Burudani)

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa