Home » » WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA JAJI WARIOBA NA BALOZI WA EU

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA JAJI WARIOBA NA BALOZI WA EU


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akizungumza na Waziri Mkuu, Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Da es salaam leo kwa mazungumzo. 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU), Bw. Filberto Sebregondi, Ofisini kwake jijini Dar es salaam, leo.
Picha Zote na Ofisi ya Waziri Mkuu

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa