Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Dk. Terezya Huvisa.
Akizungumza na Balozi wa Brazil, Nchini Tanzania, Comoro na Seychelles
Bw. Francisco Carlos Joares Luz. Mazungumzo hayo yalihusu maandalizi ya
Mkutano wa Kimataifa wa Rio +20. yalifanyika Mtaa wa Luthuli, Dar es
Salaam.
Picha na Ali Meja.

0 comments:
Post a Comment