Home » » ZIARA YA WAZIRI KIGODA KATIKA KIWANDA CHA URAFIKI

ZIARA YA WAZIRI KIGODA KATIKA KIWANDA CHA URAFIKI

WAZIRI wa Viwanda na Biashara Mh, Abdala kigoda akiongea na wajumbe
pamoja na Viongozi wa kiwanda cha Urafiki jijini Dar es Salaam
alipotembelea kiwanda hicho leo jijini Dar es Salaam ambapo aliziona
changamoto nyingi zinazozikabili kiwanda hicho ikiwemo mishahara miidogo
ya wafanyakazi na akaahidi kuzifanyia kazi.
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)

Diwani wa kata ya Ubungo  jijini  Dr es Salaam Mh, Bonifas Jacob
 akieleza changamoto zinazo wakabili wafanyakazi wa kiwanda hicho pamoja
na usimamiaji mbovu wa Kiwanda hicho mbele ya Waziri.

Baadhi ya wafanyakazi, Viongozi pamoja na wajumbe mbalimbali
waliohudhuria kwenye ziara hiyo wakimsikiliza Mh, Waziri kwa umakini.
Naibu Meneja uchapishaji na utiaji rangi kwenye kanga Bw, Solomon
Laban(kulia) akimuelekeza waziri namana mtambo huo wa utiaji Rangi
unavyofanya kazi  akikagua baadhi ya Mitambo ndani ya kiwanda hicho.
Waziri akikagua uzalishaji wa kanga kiwandani hapo.

Mh. Waziri wa viwanda na Biashara akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa kiwanda hicho baada ya kumaliza matembezi.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa