Home » » JK awaapisha Mabalozi wapya 10 Ikulu ya Dar es Salaam leo

JK awaapisha Mabalozi wapya 10 Ikulu ya Dar es Salaam leo


 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha mabalozi wapya kumi ambao wataongoza idara na kurugenzi mbalimbali katika Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Pichani Rais akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wapya aliowaapisha ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Kutoka kushoto walisimama mstari wa mbele ni Balozi Bertha Semu Somi,Balozi Hassan Simba Yahya, Balozi Vincent Joel Thomas Kibwana,Balozi Naimi Sweetie Hamza Aziz,Balozi Irene Mkwawa Kasyanju na Balozi Dora Mmari Msechu.Waliosimama nyuma kutoka kushoto ni Balozi Silima Kombo Haji,Balozi Celestine Joseph Mushy, Balozi Mbelwa Brighton Kairuki na Balozi Ramadhan Muombwa Haji
 Balozi Mbelwa Brighton Kairuki
 Balozi Bertha Semu Somi
 Balozi Celestine Joseph Mushy
 Balozi Dora Mmari Msechu
 Balozi Hassan Simba Yahya
 Balozi Irene Mkwawa Kasyanju
 Balozi Naimi Sweetie Hamza Aziz
 Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi
 Balozi Silima Kombo Haji
Balozi Vincent Joel Thomas Kibwana
Picha na Ikulu

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa