Home » » Katibu Wa itikadi na Uenezi Wa CCM Nape Nnauye Akiwafariji Viongozi wa Juu Wa CHADEMA,Dk Wilbrod Slaa na Freeman Mbowe

Katibu Wa itikadi na Uenezi Wa CCM Nape Nnauye Akiwafariji Viongozi wa Juu Wa CHADEMA,Dk Wilbrod Slaa na Freeman Mbowe



Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM  Nape Nnauye  akimfariji Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk. Slaa kutokana na msiba huo.
 Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye, akimfariji, Mwenyekiti wa
Chadema, Freeman Mbowe, katika shughuli ya kuuaga mwili wa muasisi wa
Chadema,  Bob Makani, leo kwenye Viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam.
Kulia ni Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Wilbrod Slaa.


Katibu wa itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye akimfariji Mwenyekiti wa
Chadema, Mbowe kwenye msiba huo muda mfupi baada ya kumfajiri katibu
Mkuu wa CHADEMA Dk. Wilbrod Slaa(Kulia).

Picha Zote na Bashir Nkoromo Blog

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa