Home » » RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA CANADA IKULU JIJINI DAR LEO

RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA CANADA IKULU JIJINI DAR LEO



Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa Canada nchini, anayemaliza muda wake wa uwakilishi, Bw Robert J. Orr walipokutana Ikulu jijini Dar es Salaam leo Juni 7, 2012.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Canada nchini,Bw Robert J. Orr aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam leo kwa lengo la kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa uwakilishi hapa nchini.

PICHA NA IKULU

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa