Home » » Watoto watatu wajeruhiwa vibaya baada ya Nguzo za umeme kuwa angukia asubuhi hii Mbagala Zakheem.

Watoto watatu wajeruhiwa vibaya baada ya Nguzo za umeme kuwa angukia asubuhi hii Mbagala Zakheem.



Watoto watatu ambao wamelala nyuma ya Pickup wamejeruhiwa vibaya na nyaya za umeme ,Watoto hao waliokuwa wakitembea kando ya  barabara wamejeruhiwa vibaya na nyaya hizo baada ya Gari dogo aina ya Escudo kugonga moja ya nguzo hizo . kwa sasa wanakimbizwa Hospitalini.
Habari na Sport and starehe Blog

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa