Home » » Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo awatembelea Twiga Stars kambini Ruvu

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo awatembelea Twiga Stars kambini Ruvu



 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mkangalla akisalimiana na Kaimu Kamanda wa Kambi ya Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) cha Ruvu Meja Alex Kakwaya wakati alipokwenda kutembelea kikosi cha Timu ya Tiwiga Stars kinayotarajiwa kucheza mchezo wa marudiano na timu ya Ethiopiia.
 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mkangalla akisalimiana na mmoja wa Kamanda wa kikosi cha Jeshi la kujenga Taifa cha Ruvu JKT wakati alipokwenda kutembelea kikosi cha Timu ya Tiwiga Stars kinayotarajiwa kucheza mchezo wa marudiano na timu ya Ethiopia.


 Baadhi ya Wachezaji wa Kikosi cha Timu ya Taifa ya Twiga Stars wakimsikiliza Mheshiiwa Dkt Fenella Mkangala wakati alipowatembelewa kwenye kambi ya Kikosi  cha Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa Ruvu JKT
 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenela Mkangalla akisisitiza jambo kwa kikosi cha Timu ya Taifa ya Twiga Stars (hawapo Pichani) wakati alipotembelea kikosi hicho kilichopo mazoezini kujiandaa na mchezo wa marudiano na timu ya Ethiopia  kwenye kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa Ruvu JKT, Kulia kwake ni  Kaimu Kamanda wa Kambi ya Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) cha Ruvu Meja Alex Kakwaya na kushoto kwake ni Luteni Rhoda Matonya


Kaimu Kamanda wa Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa cha Ruvu (JKT ) Meja Alex Kakwaya akiteta jambo na Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo Bi. Juliana Yassoda wakati ugeni wa Wizara ulipokwenda kutembelea kikosi cha Timu ya Twiga Stars kilichopo mazoezini kujiandaa na mchezo wa marudiano na timu ya Ethiopia kwenye kambi ya Kikosi cha Ruvu JKT. Picha zote na Benjamin Sawe wa WHVUM

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa