Hapa ni wilayani Temeke ofisi za serikali ya mtaa wa wa Maganga kata ya Temeke ambapo zoezi la la utoaji wa vyeti ya kuzaliwa kwa watoto wa kuanzia umri wa miaka O mpaka miaka 5 zoezi litafanyika mara 2 mbili kwa wiki yaani siku ya Jumanne na Alhamis kwa muda wa wiki 6.
Picha zote na Tabitha wa Dar yetu Blog






0 comments:
Post a Comment