Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei akikata utepe wakati wa ufunguzi wa
tawi jipya la benki hiyo lililopo Tegeta nje kidogo ya jiji la Dar es
Salaam, mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Meneja wa tawi hiyo, Daudi
Nyandwi. Wa tatu kushoto ni Naibu Mkurugenzi Huduma Shirikishi wa CRDB,
Esther Kitoka na Mkurugenzi Mkuu wa VGK, Velence Msaki.
Karibu Bosi.
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Nenki ya CRDB, Tully Mwambapa (kulia), akiwa na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo.
Karibu katika tawi letu.
Mkurugenzi Mkuu wa VGK, Velence Msaki (kushoto), akiwa na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo.
Baadhi ya wageni walioshiriki uzinduzi huo.
Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa tawi la Tegeta jijini Dar es Salam.
Mkurugenzi
wa Masoko na Utafiti wa benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa (kushoto),
akiwa na Meneja wa Huduma kwa Wateja, Godwin Semunyo wakati wa hafla
hiyo.
wa Masoko na Utafiti wa benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa (kushoto),
akiwa na Meneja wa Huduma kwa Wateja, Godwin Semunyo wakati wa hafla
hiyo.
Mkurugenzi
wa Masoko na Utafiti wa Nenki ya CRDB, Tully Mwambapa (wa Pili kushoto)
akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa NMB mara baada ya
uzinduzi wa tawi la CRDB ambalo lipo katika jengo la KIBO COMMERCIAL
COMPLEX ambapo benki ya NMB imefungu tawi katika jengo hilo.
wa Masoko na Utafiti wa Nenki ya CRDB, Tully Mwambapa (wa Pili kushoto)
akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa NMB mara baada ya
uzinduzi wa tawi la CRDB ambalo lipo katika jengo la KIBO COMMERCIAL
COMPLEX ambapo benki ya NMB imefungu tawi katika jengo hilo.
DAR ES SALAAM, Tanzania
WATANZANIA wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kuweka katika miradi mikubwa ili kujikomboa kimaisha.
Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo
Vijijini CRDB,Dkt.Charles Kimei wakati akifungua la biashara la Kibo
Commercial Complex lililopo Tegeta,Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es
Salaam ambalo limejengwa kwa udhamini wa Benki hiyo ya CRDB.
Alisema Watanzania wengi wamekuwa wakihofia kuwekeza katika miradi
mikubwa kutokana na kwamba wanashindwa kufanya kazi kwa bidii jambo
ambalo limekuwa likiwapa fursa wageni kutoka nje ya nchi.
"Watanzania wengi wamekuwa na hofu katika kuwekeza katika miradi mkubwa
na hofu hii inatokana kwamba washindwa kujituma kwa kufanya kazi kwa
bidii,"alisema Dkt. Kimei.
Alisema kuwa uoga huo unatokana na kutokuwa na nidhamu katika kutunza
fedha benki jambo ambali linawafanya kushindwa kupata mikopo.
Mkurugenzi
huyo Mtendaji alisema kuwa endapo watanzania wataondokana na hali hiyo
kuna uwezekano mkubwa wa kujikwamua kimaisha.
Awali akisoma hotuba yake kwa mgeni rasmi Mkurugenzi Mtendaji wa
Kampuni hiyo ya VGK Ltd.Bw. Valence Msaky,pamoja na changamoto
mbalimbali walizokutana nazo lakini wanashukuru kuona wamefanikisha
ujenzi huo.
Alizitaja changamoto hizo kuwa ni pamoja na kupatikana fedha za
ujenzi,imene wa uhakika,mfuko wa bei za bidhaa na uagizaji wa vifaa
kutoka nje ya kutofika kwa watakati.
0 comments:
Post a Comment