Home » » BREAKING NEWS: MWANASIASA MKONGWE HAWA NGULUME AFARIKI DUNIA

BREAKING NEWS: MWANASIASA MKONGWE HAWA NGULUME AFARIKI DUNIA

 
Hawa Ngulume afariki dunia Mwanasiasa mkongwe aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya za Kinondoni, Mbarali na Bagamoyo, Mama Hawa Ngulume amefariki dunia leo asubuhi Jijini Dar es Salaam kwani Mama Hawa Ngulume alikuwa akisumbuliwa na kansa kwa muda mrefu.....Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya marehemu mahali pema peponi, Amina.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa