Home » » RAIS JAKAYA KIKWETE ALEKEA KAMPALA LEO kuhudhuria mkutano wa nchi za maziwa makuu.

RAIS JAKAYA KIKWETE ALEKEA KAMPALA LEO kuhudhuria mkutano wa nchi za maziwa makuu.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi la Tanzania  Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo  kabla ya kabla ya kuanza safari ya kwenda Kampala, Uganda, kuhudhuria mkutano wa nchi za Maziwa Makuu asubuhi leo Agosti 8, 2012. Katikati yao ni Inspekta Jenerali wa Polisi Saidi Mwema.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rubani Bomani na wanaanga wenzie  wa Ndege za Serikali  kabla ya kuanza safari ya kwenda Kampala, Uganda, kuhudhuria mkutano wa nchi za Maziwa Makuu asubuhi leo Agosti 8, 2012.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam  Mhe Saidi Mecky Sadik  kabla ya kuanza safari ya kwenda Kampala, Uganda,kuhudhuria mkutano wa nchi za Maziwa Makuu asubuhi leo Agosti 8, 2012.Picha na Ikulu.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa