Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard K. Membe (MB), (pichani kulia) akimpokea Waziri Mkuu wa Zimbabwe Mhe. Morgan Richard Tsvangirai, aliyewasili Agosti 8 kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Mhe. Waziri Mkuu Tsvangirai atakuwa nchini kwa ziara ya kikazi na anatarajiwa kukutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo Ikulu, jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment