Home » » Ajali barabara ya Masaki leo

Ajali barabara ya Masaki leo



Gari yenye nambari za usajili T 811 BQM likiwa limepinduka asubuhi ya leo maeneo ya Masaki kwenye barabara inayoelekea Salender,chanzo cha ajali hiyo hakikuweza fahamika mara moja na hakuna mtu aliyekufa,bali ni dereva ambaye alikuwa peke yake ndie ameumia kidogo.
Dereva wa Gari hiyo akiwa amekaa chini huku akiendelea kufanya mawasiliano ya hapa na pale kwa ndugu na jamaa.
Mashuhuda wakiangalia ajali hiyo.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa