Home » » IKULU: RAIS JAKAYA KIKWETE AONANA NA UJUMBE WA MWAPORC IKULU,JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

IKULU: RAIS JAKAYA KIKWETE AONANA NA UJUMBE WA MWAPORC IKULU,JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

 m7: Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiuonesha njia za reli katika  ramani ya
Tanzania ujumbe toka kampuni ya Mwambani Port and Railway Corridor
Company (MWAPORC) uliomtembelea leo Septemba 29, 2012 Ikulu jijini Dar
es salaam kumweleza nia yao ya kutaka kuwekeza katika sekta ya reli.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na ujumbe toka kampuni ya
Mwambani Port and Railway Corridor Company (MWAPORC) uliomtembelea leo
Septemba 29, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam kumweleza nia yao ya kutaka
kuwekeza katika sekta ya reli.Picha na IKULU

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa