Home » » WAZIRI NCHIMBI ATIMULIWA NA WAANDISHI JANGWANI

WAZIRI NCHIMBI ATIMULIWA NA WAANDISHI JANGWANI

Wakati maandamano yakiingia Uwanja wa Jangwani, waziri wa Mambo ya   Ndani Emmanuel Nchimbi alifika uwanjani na kusimama jukwaa kuu. Hatua hii ilisababisha waandishi kupiga kelele na kumzomea na kutaka aondoke.

Hivyo alianza kuondoka na waandishi kumuimbia aondoke aondoke....


Aliondoka kwa aibu.


Chanzo: Mabadiliko Forum

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa