Home » » Balozi wa Tanzania nchini Malawi akanusha uvumi kuwa kapewa masaa 48 kuondoka nchini humo

Balozi wa Tanzania nchini Malawi akanusha uvumi kuwa kapewa masaa 48 kuondoka nchini humo



Jana tarehe 12 Oktoba, 2012  wabunge wa Tanzania ambao wanashiriki
mkutano wa bunge la SADC  nchini Malawi wakiongea na balozi wa Tanzania
mjini Lilongwe, Malawi, katika  ofisi za ubalozi huo  jioni ya leo.
Habari zilizoandikwa na mtandao wa malawivoice.com kuwa Balozi  Tsere
kapewa masaa 48 kuondoka nchini humo hazina ukweli wowote. Kwa mujibu wa
Balozi Tsere, habari hizo zinalenga kuvuruga mahusiano  kati ya Malawi
na  Tanzania.Source.Michuzi Blog

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa