Home » » BREAKING NUUZ, SHEIKH PONDA AFIKISHWA MAHAKAMANI LEO

BREAKING NUUZ, SHEIKH PONDA AFIKISHWA MAHAKAMANI LEO





Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam,Sheikh Issa Ponda leo
amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam
kwa madai mbalimbali pamoja na kuwashawishi baadhi ya Waislamu kuvamia
eneo la Kiwanja katika eneo la Chang'ombe jijini Dar es Salaam,  kuwashawishi
Waislamu kutojitokeza katika zoezi la Uandikishaji katika Sensa ya Watu
na Makazi. Hali ya ulinzi imeimarisha katika viunga vya Mahakama hiyo. Habari kamili kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu pamoja na Picha zitawajia hivi punde.
HABARI KWA MSAADA WA HABARI MSETO BLOG

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa