Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » Chama Cha Wakutubi Kutoka Finland(fla) Chatoa Mafunzo Ya ICT Kwa Wakutubi Nchini

Chama Cha Wakutubi Kutoka Finland(fla) Chatoa Mafunzo Ya ICT Kwa Wakutubi Nchini


Mratibu wa Mradi wa chama cha Wakutubi kutoka Finland (Finnish Library Association- FLA). Mama MARJATTA LAHTHI (aliesimama) akiwaelezea baadhi wa wakutubi wanaohudhuria mafunzo ya  matumizi ya Kompyuta jinsi mradi wake utakavyosaidia  baada yakutoa mafunzo mbalimbali ya matumizi ya Kompyuta kwa wakutubu hao kutoka maktaba mbalimbali nchini.Mafunzo hayo ya muda mfupi yameanza Oktoba 15.2012 jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki  kutoka maktaba mbalimbali nchini wakifanya mazoezi ya matumizi ya Kompyuta  jijini Dar es Salaam Oktoba 15.2012.
                                       

             (Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa