Balozi wa Cuba aliyemaliza muda wake hapa nchini, Mhe. Ernesto Gomez Diaz naye akizungumza machache wakati wa hafla hiyo. |
Mhe. Balozi Diaz akifurahia zawadi aliyokabidhiwa na Mhe. Naibu Waziri. |
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bibi Grace Shangali akitoa neno la ufunguNzi wa hafla ya kumuaga Balozi wa Cuba. |
Mhe. Naibu Waziri akiagana na Balozi Diaz mara baada ya hafla kumalizika. |
0 comments:
Post a Comment