Wakati eneo hili la Manzese lililopojengwa daraja watu walishangaa wakati barabara zikiwa nnne tu, sasa hapa ujenzi unaendelea kufanya njia sita na mabasi ya haraka.
Je wananchi wataweza kutumia barabara hizi bila ya kupatiwa elimu,kabla ya kumalizika kwa ujezi huo ? 
Ni Muonekano Wa Barabara hapo zikiwa zimekamilika.


0 comments:
Post a Comment