Home » » NAIBU WAZIRI WA ELIMU AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MTIHANI WA KIDACHO CHA NNE

NAIBU WAZIRI WA ELIMU AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MTIHANI WA KIDACHO CHA NNE



Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Philipo Mulugo ( Kulia ) akiongea na Waandishi wa Habari (hawapo kwenye picha) kuhusu Mtihani wa Kidacho cha nne na Mtihani wa Maarifa unaotarajia kufanyika tarehe 8 Oktoba hadi tarehe 25 Oktoba 2012 Nchi nzima kwenye Ukumbi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi mjini Dar es Salaam leo.kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani (NECTA ) Dkt. Enock Msonde
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Philipo Mulugo (kushoto ) akiongea na Waandishi wa Habari ambao hawapo kwenye picha kuhusu Mtihani wa Kidacho cha nne na Mtihani wa Maarifa unaotarajia kufanyika tarehe 8 Oktoba hadi tarehe 25 Oktoba 2012 Nchi nzima kwenye Ukumbi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi mjini Dar es Salaam leo.kulia ni Kamishina wa Elimu Prof. Eustella Bhalalusesa

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa