Home » » News Alert : Bosi wa NBC Lawrence Mafuru arudi kazini

News Alert : Bosi wa NBC Lawrence Mafuru arudi kazini

Habari zilizotua sasa hivi kwenye deski la Breaking Nyuzzzz la Globu ya Jamii zinasema Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NBC Bw. Lawrence Mafuru amejea kazini baada ya kuwa nje kwa miezi kadhaa kupisha kile kilichotajwa kuwa ni uchunguzi wa masualaa kadhaa yaliyoibuka katika benki hiyo kubwa nchini. Habari za jikoni toka NBC zinathibitisha kwamba Mwenyekiti wa bodi ya Nbc Dkt Hassan ameshawatangazia wafanyakazi wote kwamba Bw. Mafuru anarejea kazini kuendeleza libeneke, na kwamba alitegemewa kuanza kazi rasmi leo. Habari zaidi kwa undani zitakufukia baada ya muda.

Chanzo: Michuzi Blog

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa