Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini Oman.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi waliojitokeza kumpokea leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini Oman.


1 comments:
Tunategemea aseme chochote kama mkuu wa kaya kwa haya yanayoendelea ndani ya kaya,tafadhali mheshimiwa chochote cha kumaliza haya kabla nchi haijatumbukia katika yale tunayoyaona kwenye nchi za mashariki ya kati!
Post a Comment