Home » » TAHADHARI KWA WANANCHI WA TANZANIA KUHUSIANA NA SMS YA MABOMU 30 KUTOKA MALAWI

TAHADHARI KWA WANANCHI WA TANZANIA KUHUSIANA NA SMS YA MABOMU 30 KUTOKA MALAWI




Kuna
taarifa kwenye mitandao ya simu inayoendelea kutolewa kwenye message
za simu kwamba  kuna Mabomu zaidi ya 30 yenye uzito usiopungua tani 100
na kuwataka wananchi katika mikoa ya Tanzania iliyo jirani na Malawi
kuwa waangalifu. 

 
Taarifa hiyo imetaka wenye wasiwasi kuhusu taarifa hiyo wapige simu 0756000042. Taarifa hiyo imedai kwamba imetolewa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

Tunapenda
kutoa taarifa kwamba taarifa hizo siyo za kweli na lengo lake
 haliwezi kuwa zuri kwa Watanzania.




 Wananchi wanashauriwa kutotuma
taarifa zozote kwenye namba hiyo ama kuziamini taarifa za aina hiyo.



Assah Mwambene
Mkurugenzi, Idara ya Habari Maelezo.


0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa