YAH: UTEUZI WA KUJAZA NAFASI YA UONGOZI KATIKA WIZARA YA UCHUKUZI
Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi, Eng. Omar A. Chambo kwa Mamlaka
aliyonayo chini ya Kifungu Na. 6 (1) (b) cha Sheria ya Utumishi wa
Umma Na. 8 ya mwaka 2002, amemteua Bibi Tumpe Samwel Mwaijande kuwa
Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira na Usalama wa Usafiri wa Majini.
Uteuzi huu unaanza tarehe 19/11/2012.
Imetolewa na;
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
19/11/2012

0 comments:
Post a Comment