Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu (mwenye suti) akiomba ufafanuzi juu ya matumizi ya jiko la kisasa la uokaji litakalotumika kufanyia mafunzo kwa vitendo kwa wanafunzi Chuo cha Taifa cha Utalii kilichopo mtaa wa Garden Avenue na Shaaban Robert mkabara na Chuo cha IFM na Makumbusho ya Taifa na nyumba ya Utamaduni alipotembelea chuo hicho jana.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu (wapili kutoka kulia) akimsikiliza kwa makini Kaimu Mkurugenzi wa Mafunzo, Naiman Mbise alipokuwa akimuelezea matumizi ya majiko ya kisasa yatakayotumika kufanyia mafunzo kwa vitendo kwa wanafunzi Chuo cha Taifa cha Utalii kilichopo mtaa wa Garden Avenue na Shaaban Robert mkabara na Chuo cha IFM na Makumbusho ya Taifa na nyumba ya Utamaduni alipotembelea chuo hicho jana.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu (mwenye suti) akimsikiliza kwa makini Kaimu Mkurugenzi wa Mafunzo, Naiman Mbise alipokuwa akimuelezea matumizi ya mgahawa wa kisasa utakaotumika kufanyia mafunzo kwa vitendo kwa wanafunzi Chuo cha Taifa cha Utalii kilichopo mtaa wa Garden Avenue na Shaaban Robert mkabara na Chuo cha IFM na Makumbusho ya Taifa na nyumba ya Utamaduni alipotembelea chuo hicho jana.



0 comments:
Post a Comment