Home » » Afisa Utafiti Mwandamizi Wa Mamlaka Ya Mapato Tanzania Aongea Na Wanahabari

Afisa Utafiti Mwandamizi Wa Mamlaka Ya Mapato Tanzania Aongea Na Wanahabari




Afisa Utafiti Mwandamizi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Bwana Emphraim Mdee akiongea na Wanahabari (hawapo pichani) kuhusu Urasimishaji wa Tasnia ya Filamu na Muziki Tanzania na kuanzishwa kwa utaratibu wa kubandika stempu za kodi kwenye kazi za wasanii,katikati ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Ukaguzi wa Filamu Tanzania Bibi Joyce Fissoo.

                (Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM).

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa