Kiongozi wa Parokia ya Mpendae Padre Ambrose
Mkenda akionyesha uso wa furaha wakati akiendelea kupatiwa huduma za matibabu
katika kitengo cha mifupa cha Moi katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili Mjini
Dar es salaam.
Rais Mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania Mh. Benjamini William Mkapa na Mkewe Mama Anna Mkapa wakiteta jambo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kupita katika Wodi
kumuona Kiongozi wa Parokia ya Mpendae Padre Ambrose Mkenda aliyelazwa kwenye
Hospitali ya Muhimbili akipatiwa huduma baada ya kujeruhiwa kwa risasi hivi karibuni.Picha na Othman Hamisi Ame-Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar

0 comments:
Post a Comment