Wakuu,
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Jospeh Warioba, ataongea na Wanahabari kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Tume hiyo kesho, Jumamosi, tarehe 5 Januari, 2013, kuanzia saa 4:00 asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano uliopo 'Ground Floor' katika jengo la Ofisi za Tume jijini Dar es Salaam. Kwa rejea, ofisi za Tume zipo mkabala na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, mtaa wa Ohio.
Vyombo vyote vya Habari vinakaribishwa
Omega S. Ngole,
Principal Information Officer,
Constitutional Review Commission (Tanzania),
PO Box 1681,
Dar es Salaam,
0 comments:
Post a Comment