Home » » SHIKAMANA YAZINDUA MRADFI WA UTOAJI ELIMU YA UNYANYASAJI WA KIJINSIA KWA SHULE ZA SEKONDARI DAR ES SALAAM

SHIKAMANA YAZINDUA MRADFI WA UTOAJI ELIMU YA UNYANYASAJI WA KIJINSIA KWA SHULE ZA SEKONDARI DAR ES SALAAM


 


Mratibu
wa taasisi ya Shikamana  Brittany Karima Cesarini( kulia ) akiwakabidhi
vipeperushi   vyenye  ujumbe wa tuungane kutokomeza unyanyasaji  Mozes 
Festo wa shule ya sekondari ya Mbezi Beach  na Husna Methew wa shule ya 
sekondari ya Jitegemee, wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kutoa alimu ya 
kutokomeza unyanyasaji kwa wanafunzi wa shule  mbalimbali za sekondari 
jijini Dar es Salaam, ufunguzi huo ulifanyika  katika ukumbi wa Theater 1
wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Mratibu
wa taasisi ya Shikamana  Brittany Karima Cesarini( kushoto ) 
akiwahutubia wanafunzi wa shule za sekondari za jijini Dar es Salaam, 
 wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kutoa alimu ya kutokomeza unyanyasaji 
kwa wanafunzi wa shule  mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam, 
ufunguzi huo ulifanyika  katika ukumbi wa Theater 1 wa Chuo Kikuu cha 
Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Mhadhili wa chuo Kikuu cha Dar es 
Salaam, Vicensia Shule ,Wakili wa kujitegemea Laetitia Petro  na  mjumbe
wa Shikamana Ansia Albert



Baadhi
ya wanafunzi wa shule mbalimbali za jijini Dar es Salaam, wakiwa na 
vitabu  vilivyo andikwa Hali Halisi ya Kijinsia Nchini Tanzania wakati 
wa uzinduzi wa utoaji wa elimu kwa shule za sekondari juu ya  unyanyaaji
wa kijinsia ikiwa ni pamoja na utoaji wa elimu ya utoaji wa mahusiano 
ya mazuri ya kimapenzi  kwa vijana .Shikamana  wamedhamilia kuleta 
mabadiliko juu ya utoaji wa elimu kwa jamii ili kupambana na aina zote 
za unyanyasaji  na udhalilishaji  wa kijinsia.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa