Home » » BALOZI WA INDIA NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, DK EMMANUEL NCHIMBI OFISINI KWAKE, JIJINI DAR ES SALAAM.

BALOZI WA INDIA NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, DK EMMANUEL NCHIMBI OFISINI KWAKE, JIJINI DAR ES SALAAM.


 Balozi wa India nchini, Debnath
Shaw (kulia) akimkabidhi zawadi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk
Emmanuel Nchimbi wakati balozi huyo alipofanya ziara ya kikazi wizar
ani hapo, jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi
(kushoto) akizungumza jambo na Balozi wa India nchini, Debnath Shaw.
Balozi na waziri huyo walijadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati
ya ubalozi huo na wizara.



Balozi wa India nchini, Debnath Shaw (kulia) akizungumza
jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi. Balozi
na waziri huyo walijadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya
ubalozi huo na wizara.PICHA ZOTE
NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
, WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa