Home » » HIVI NDIVYO JENGO LILIVYO ANGUKA LEO,TAZAMA HAPA

HIVI NDIVYO JENGO LILIVYO ANGUKA LEO,TAZAMA HAPA


 Jengo lililo pembeni mwa msikiti wa Shia Ithnaasheri mtaa wa Indira Ghandi katikati ya jiji la Dar es salaam linavyoonekana baada ya kuporomoka asubuhi hii. Kamanda wa Polisi Kanda ya Dar es salaam Suleiman Kova kawaambia wanahabari kuwa kila aliyehusika na ujenzi, usimamizi na hata utoaji vibali atawajibishwa endapo kutaonekana kumekuwepo uzembe upande wake
 Taharuki kila mahali katika eneo la tukio
 Jengo limetapakaa barabarani
 wananchi wakishuhuria kwa huzuni
 Bango la wakandarasi

 Hassan Mhelela wa BBC alikuwa miongoni mwa wanahabari wa kwanza kufika eneo la tukio
 Moja ya magari kadhaa yaliyodondokewa na kifusi
 Gari ingine ambayo inasemekana ndani yake mna watu
 Ulinzi wa kutosha kila pembe
Bila vifaa vizito kazi inakuwa ngumu

PICHA NA ISSA MICHUZI BLOG

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa