Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (kulia) akifurahia kinyago kilichochongwa na raia wa Afrika Kusini, Azwimpheleli (mwenye fulana nyeupe) huku Makamu wa Rais wa Chama cha Kimataifa cha Utamaduni wa Miti, Haward Rosen (mwenye tai) akimtazama,wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Miti (World Wood Day)yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam.
Mmoja wa wananchi aliyetembelea maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Miti (World Wood Day) kwenye Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam akijaribu mkanda.
Moja ya kinyago kilichopo kwenye moja ya Mabanda ya maonyesho ya Siku ya Kimataifa ya Miti (World Wood Day) kwenye Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment