Aliye Kuwa Mshindi wa Tuzo ya Miss Tanzania Vipaji 2005/2006 Bi Linda Akizungumza na Washiriki wa Miss Utalii Taifa 2012/13 jana katika Ufukwe wa Bahari ya Hindi.
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13 wakiwa wamefurahi baada ya Kutembelewa na mgeni.
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa katika Picha ya pamoja na Miss Utalii Tanzania aliye shinda Tuzo ya Vipaji Bi Linda.
0 comments:
Post a Comment