Home » » HACKERS WAINGILIA TOVUTI YA MAKAMU WA RAIS WAANDIKA MATUSI NA KUWEKA NYIMBO ZA MATUSI

HACKERS WAINGILIA TOVUTI YA MAKAMU WA RAIS WAANDIKA MATUSI NA KUWEKA NYIMBO ZA MATUSI

  Katika hali isiyo kuwa ya kawaida hacker waendele kusumbua sasa ni zamu ya tovuti ya serikali ya makamu wa rais  kilicho andikwa nimatusi  kwa maandishi na kuna muziki wa hiphop wa mitusi.. Kuna mtu anajiita Govt Attacker. Mr. Spam ..! Eti ni Mmoroco. Home - uone. Je hii inamaanisha nini kwa systems zetu za mawasiliano kuwa rahisi kufanyiwa uhuni kama hivyi mpaka lini. 
Hata hivyo wahusika wa tovuti hiyo wamefanikiwa kuondoa tatizo hilo kwa sasa
SOURCE BONGOCLANTZ

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa