Ujumbe wa
Makamishna wa Tume ya Utumishi ya Bunge ukiwa katika picha ya Pamoja na
watumishi wa Bunge la Autralia
Kamishna wa Bunge
la Tanzania Mhe Mau Daftari akikabidhi zawadi ya picha ya Jengo la Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Katibu wa Bunge la Maseneta la Australia
Dr.Rosemary Laing Mara walipofika Ofisini kwake kumsalimu. Wengine katika Picha
ni Mhe. Hamad Rashid Mohamed na Mhe. Abdukarim Shah ambo wote ni Makamishina wa
Tume ya Utumishi wa Bunge.Ujumbe wa makamishna wa Bunge la Tanzania upo Nchini,
Australia kwa ziara ya Mafunzo
Kamishna wa Bunge
la Tanzania Mhe Mau Daftari akikabidhi zawadi ya picha ya Jengo la Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Katibu wa Bunge la wawakilishi la Australia
Ndg. Bernard Wright Mara walipofika Ofisini kwake kumsalimu. Wengine
katika Picha ni Mhe. Hamad Rashid Mohamed na Mhe. Abdukarim Shah ambo wote ni
Makamishina wa Tume ya Utumishi wa Bunge. Ujumbe wa makamishna wa Bunge la
Tanzania upo Nchini, Australia kwa ziara ya Mafunzo
PICHA ZOTE NA OFISI YA
BUNGE



0 comments:
Post a Comment