Mkurugenzi
wa huduma za kodi na elimu mamlaka ya mapato Tanzania (TRA)Bw.Richard
Kayombo (kushoto)akizungumza na waandishi wa habari katika Hoteli ya
Court Yard jijini Dar es salaam leo wakati wa ufunguzi wa semina ya siku
moja kuhusu mfumo wa malipo kwa kutumia mashine za elektroniki ulioanza
mwaka 2010.(katikati)Meneja huduma kwa mlipa kodi Bw.Alani Kiula(kulia)
afisa elimu mwandamizi idara ya kazi za ndani Bi.Alvera Ndabagoye.
Meneja
wa elimu Dyana Masala (kushoto)akijibu maswali kutoka waandishi wa
habari(katikati) Mkurugenzi wa huduma za kodi na elimu mamlaka ya mapato
Tanzania Bw.Richard Kayombo(kulia) afisa elimu mwandamizi idara ya kazi
za ndani Bi.Alvera Ndabagoye.
Mtoa
mada wa ambaye ni Ofisa mwandamizi mkuu wa idara ya elimu na huduma za
kodi malaka ya mapato tanzania (TRA)Bw.Hamisi Lupeja akiwasilisha mada
yake mbele ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali hapa nchi
semina hiyo ya siku moja iliyoandaliwa na mamlaka ya Mapato
Tanzania(TRA) iliolenga kuwapa elimu wanahabari kuhusiana na matumizi ya
mashine za elektroniki katika kulipa kodi. Pia semina hiyo ililenga
kutoa elimu kwa wananchi namna ya umuhimu wa kudai risiti wakati wa
manunuzi. Wanahabari wametumika kufikisha ujumbe kwa
wananchi
waandishi
wa habari kutoka vyombo mbalimbali hapa nchini wakiwa kwenye semina
wakifuatilia kwa umakini mada ilikuwa ikitolewa na mtoa mada namna ya
matumizi ya mashine za elektroniki katika kulipa kodi.
(PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
0 comments:
Post a Comment