Afisa Uhusiano Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi
na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Sarah Kibonde Msika akitoa neno la ukaribisho kwenye
mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es Salaam ili kutoa
taarifa ya wiki ya maonyesho ya hifadhi hiyo yatakayoanza tarehe 13 hadi 18 Mei
mwaka huu katika viwanja vya Nyerere Squere mjini Dodoma.
Afisa Mahusiano wa PSPF Fatma Eliharid
kifuatilia mkutano kuhusiana na wiki ya maonyesho ya hifadhi hiyo yatakayoanza
tarehe 13 hadi 18 Mei mwaka huu katika viwanja vya Nyerere Squere mjini Dodoma.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
(SSRA), Irene Isaka akiongea na
waandishi wa habari kuhusiana na wiki ya maonyesho ya hifadhi hiyo yatakayoanza
tarehe 13 hadi 18 Mei mwaka huu katika viwanja vya Nyerere Squere mjini Dodoma
na kusititiza wananchi wajitokeze kwa wingi.
Mkutano ukiwa unaendelea
0 comments:
Post a Comment