Mkurungenzi msaidizi Wizara ya Kazi na Ajira,
Bw.Ally Msaki akisoma hotuba wakati akifungua mkutano wa kimataifa wa
siku tatu kutoka nchi mbalimbali za Afrika unaojadili wafanyakazi wa
majumbani , wa ndani kwa nchi za Afrika ikiwemo Tanzania. Mkutano hauo
uliandaliwa na shirika la kazi duniani ILO unaofanyika kwenye ukumbi wa
Kazi House ILO jijini Dar es salaam leo. Wawakilishi
kutoka nchi za Afrika wakiwa kwenye mkutano wa siku tatu wa kujadili
wafanyakazi wa majumbani ambao umefanyika katika ukumbi wa Kazi House,
jijini Dar es salaam
Wafanyakazi
wa majumbani wakiwa wamesimama na mabango wenye jumbe mbalimbali wakati
wa mkutano wa kimataifa wa siku tatu kutoka nchi mbalimbali za Afrika
unaojadili wafanyakazi wa majumbani kwa nchi za Afrika uliondaliwa na
shirika la kazi duniani (ILO) ambao umefanyika leo kwenye ukumbi wa
Kazi House Ilo jijini Dar es salaam . Wawakilishi
kutoka nchi za Afrika wakiwa kwenye mkutano wa siku tatu wa wakujadili
wafanyakazi wa majumbani ambao umefanyika leo katika ukumbi wa Kazi
House, jijini Dar es salaam
Mkurungenzi
msaidizi wa Wizara ya kazi na ajira Bw. Ally Msaki akiwa kwenye picha
ya pamoja na wawakilishi kutoka nchi za Afrika mara baada ya kufungua
mkutano wa kimataifa wa siku tatu kutoka nchi mbalimbali za Afrika
unaojadili wafanyakazi wa majumbani kwa nchi za Afrika. Mkutano huo
umeandaliwa na shirika la kazi duniani (ILO) na umefanyika katika ukumbi
wa Kazi House Ilo, jijini Dar es salaam leo.
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
0 comments:
Post a Comment