Home » » Spika wa Bunge akutana na Balozi wa Ireland Nchini,pia afanya mazungumzo na wajumbe wa Kamati Maalum iliyoundwa kuchunguza vurugu za Mtwara

Spika wa Bunge akutana na Balozi wa Ireland Nchini,pia afanya mazungumzo na wajumbe wa Kamati Maalum iliyoundwa kuchunguza vurugu za Mtwara


Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akimkaribisha Balozi wa Ireland hapa Nchini Bi. Fionnula Giisennan  aliemtembelea Ofisi kwake Bungeni leo.
Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akiwa katika na mazungumzo na Balozi wa Ireland hapa Nchini Bi. Fionnula Giisennan Ofisi kwake Bungeni leo.
Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akiwa katika kikao cha pamoja na wajumbe wa kamati maalum iliyoundwa na Spika kuchunguza chanzo cha migogoro ya wananchi wa Mtwara kuhusu mgogoro wa gesi. Picha zote na Owen Mwandumbya.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa