Home » » WAREMBO WA REDD'S MISS KIGAMBONI 2013 WAJIANDAA VIZURI.

WAREMBO WA REDD'S MISS KIGAMBONI 2013 WAJIANDAA VIZURI.




Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Kigamboni wakiwa kwenye mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na kinyang'anyiro hicho kitakachofanyika Ijumaa Juni 7 mwaka huu kwenye ukumbi wa Navy Beach ulioko Kigamboni jijini Dar es salaam. 



0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa