Home » » MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI, ABSOLOM KIBANDA

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI, ABSOLOM KIBANDA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mhariori wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006) Ltd, AbsalomKibanda, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 10, 2013 kwa mazungumzo. Kibanda alimtembelea Mhe. Makamu ili kumwelezea hali yake kiafya inavyoendelea baada ya matibabu. 
Picha na OMR.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa