Mkuu
wa Mkoa wa Kusini Unguja, Dkt. Idrisa Muslih Haji (kulia) akikabidhi
sehemu ya Compyuta 15, kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kwa Mwenyekiti wa
Kamati ya Maendeleo ya jimbo la Chwaha Bw. Muhammed Ali Selemani,
ikiwa ni sehemu ya ahadi ya Mhe. Makamu, kwa Kituo hicho cha Chwaka
Computer Training Center. Makabidhiano hayo yalifanyika jana Juni
11, 2013, kwenye Kituo hicho. Kulia ni Mtendaji Mkuu Ofisi ya Tume ya
Sayansi na Teknolojia (COSTECH) Bw. George Mulamula.
Baadhi
ya Wajumbe wa Kamati ya Maendeleo ya jimbo la chwaka wakimsikiliza Mkuu
wa Mkoa wa Kusini Uguja, (hayupo pichanio) wakati alipokua
akizungumza baada ya makabidhiano hayo, alipomwakilisha Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dkt. Bilal. Mkuu
wa Mkoa wa Kusini Unguja, Dkt. Idrisa Muslih Haji (kulia) akikabidhiwa
sehemu ya Compyuta 15, na Mtendaji Mkuu Ofisi ya Tume ya Sayansi
na Teknolojia (COSTECH) Bw. George Mulamula, ambapo Mkuu huyo wa mkoa
wa Kusini unguja, alizikabidhi kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo
ya jimbo la Chwaha Bw. Muhammed Ali Selemani, kwa niaba ya Mhe. Makamu
wa Rais Dkt. Bilal, kwa ajili ya Kituo cha Chwaka Compyuter
Training Center, ikiwa ni sehemu ya ahadi ya Mhe. Makamu Dkt. Bilal kwa
kituo hicho. Makabidhiano hayo yalifanyika jana Juni 11, 2013, kwenye
Kituo hicho. Kulia ni . Kushoto ni Naibu Katibu wa Makamu wa Rais,
Mohamed Khamis. Mkuu
wa Mkoa wa Kusini Unguja, Dkt. Idrisa Muslih Haji, akizungumza na
Wajumbe wa kamati ya Maendeleo ya Jimbo la Chwaka mara baada ya
makabidhiano ya Computer 15, ikiwa ni sehemu ya ahadi ya Makamu wa Rais
Kwenye Kituo cha Chwaka Computer Training Center. Kulia ni Mwenyekiti
wa Kamati ya Maendeleo ya Chwaka Bw. Muhammed Ali (kushoto) ni Shekha
wa Shehia ya Chwaka Bw. Msaraka Pinja na Mtendaji Mkuu wa Sayansi na
Teknolojia Bw George Mulamula. Makabidhiano hayo yalifanyika jana Juni
11, 2013, kituoni hapo. Picha na OMR
0 comments:
Post a Comment