Home
skip to main
|
skip to sidebar
Home
» » MAMA MICHELLE OBAMA ATEMBELEA WAMA FOUNDATION NA KUKUTANA NA MAMA SALMA KIKWETE LEO
MAMA MICHELLE OBAMA ATEMBELEA WAMA FOUNDATION NA KUKUTANA NA MAMA SALMA KIKWETE LEO
Mke wa Rais wa Markani mama Michelle Barack Obama akiwasili katika ofisi za Wanawake na Maendeleo WAMA jioni hii wakati alipotembelea katika ofisi hiyo na kuwa na mazungumzo na mwenyeji wake Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete katika makao makuu ya taaisis hiyo leo, Rais Barack Obama na Mke wake Michelle Obama wako katika ziara ya siku mbili ya kikazi nchini Tanzania wakiongozana na watoto wao jioni hii Rais Barack Obama atakuwa na mazungumzo na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete na pia watazungumza na waandishi wa habari Ikulu kabla ya kuendelea na kazi zingine.
Mama Mchelle Obama akielekea katika lango kuu la ofisi za WAMA jioni hii.
Mama Michelle Obama akilakiwa na mwenyeji wake mama Salma Kikwete wakati alipowasili katika ofisi hizo kwa mazungumzo mafupi.
Mama Michelle Obama akipozi kwa picha na mwenyeji wake mama Salma Kikwete
Wake wa viongozi wakipunga bendera kama ishara ya kumpokea Mama Michelle Obama
Mama Anna Mkapa ambaye pia ni mwenyekiti wa taasisi ya EPTF akiongozana na mama Aisha Bilal wakati wa mapokezi ya Mke wa Rais Barack Obama Mama Michelle Obama katika ofisi za WAMA jioni hii
Makachero wa Marekani wakiwa kazini
Mama Salma Kikwete akiwapungia mkono wake wa Viongozi wakati alipowasili katika ofisi za WAMA tayari kwa kumpokea mgeni wake Mama Michelle Obama.
PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE
0 comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Popular Posts
UKAHABA WA KUTISHA WAIBUKA KIGAMBONI DAR ES SALAAM
TV1 KURUSHA LIVE LIGI KUU YA UINGEREZA 'PREMIERE LEAGUE' BURE
UCHUNGUZI KUTOKA POLISI: Jacky Daniel" imechangia kifo cha Kanumba
JUST IN:TAARIFA TULIZO ZIPATA MPAKA SASA KUHUSU KIFO CHA MWIGIZAJI STEVEN KANUMBA...
LIVEEE MUDA HUU MSANII WEMA SEPETU AZIMIA NA ANAKIMBIZWA HOSPITAL KWA SASA
Powered by
Blogger
.
Blog Archive
Blog Archive
March (5)
January (5)
November (1)
October (2)
September (1)
August (1)
July (13)
May (1)
April (8)
March (17)
February (54)
January (51)
December (32)
November (130)
October (71)
September (159)
August (309)
July (200)
June (71)
May (57)
April (42)
March (112)
February (104)
January (93)
December (172)
November (191)
October (162)
September (129)
August (140)
July (158)
June (174)
May (171)
April (148)
March (205)
February (212)
January (260)
December (105)
November (128)
October (146)
September (120)
August (171)
July (121)
June (120)
May (100)
April (87)
March (49)
February (69)
January (115)
December (93)
November (65)
October (121)
September (92)
August (142)
July (165)
June (145)
May (179)
April (170)
March (209)
February (214)
January (273)
December (145)
November (153)
October (165)
September (106)
August (93)
July (127)
June (46)
May (54)
April (25)
March (47)
February (51)
January (89)
December (98)
November (113)
October (204)
September (160)
August (125)
July (33)
June (56)
May (137)
April (189)
March (73)
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012.
Dar es salaam Yetu
- All Rights Reserved
Designed by
Blogs za Mikoa
Proudly powered by
Blogs za Mikoa
0 comments:
Post a Comment