Mtaa huu ukiwa unapitiwa na Maji Taka kama mkondo wa mto , tena kati kati ya makazi ya watu hali inayo sababisha Harufu mbaya kwa wakazi wanaoishi maeneo hayo ya pembezoni
Hivi ndivyo Tank hili la maji taka lilivyo Fumuka na kumwaga maji hayo machafu ambayo yamesababisha kuchafua hali ya hewa ya eneo hilo na kusababisha usumbufu kwa watu waishio maeneo hayo
Maji haya Machafu yakielekea kusiko Julikana .
Wananchi wa eneo hili wamelalamika kuwepo kwa kufumuka kwa ma tank haya kila wakati bila ya kufanyiwa kazi. wameomba mamlaka ya maji safi na taka kuja kuwasaidia kuwaokoa kwa kunyonya maji hayo ili waepukane na Magonjwa ya Mlipuko
Picha zote na Dar es salaam Yetu
0 comments:
Post a Comment