Home » » MAZISHI YA MAREHEMU MAMA YAKE NA PROF. JAY KATIKA MAKABURI YA KINONDONI JANA

MAZISHI YA MAREHEMU MAMA YAKE NA PROF. JAY KATIKA MAKABURI YA KINONDONI JANA


Mama mzazi wa Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Joseph Haule ama Prof. Jay,Mama Rosemary Majanjara enzi za uhai wake.

  Mwili wa marehemu ukiingiza ndani


Maombezi yakiendelea hapo nyumbani kwa Prof. jay
Prof. Jay akiongea neno na Mh. John Myika alipokuwa kwenye msibani 




Mzee Haule, Mme wa Marehemu akiwa kwenye hali ya huzuni
Mtoto mkubwa  ambaye ndiye dada yake na Prof. Jay akiuaga mwili wa marehemu mama yake
Prof. Jay akiuaga mwili wa marehemu mama  yake
Mme wa marehemu akiuaga mwili wa marehemu 

Lady Jaydee akiuaga mwili wa marehemu
Erick Shigongo akiuaga mwili wa marehemu

Mjukuu wa marehemu akiuaga mwili wa bibi yake

Baadhi ya watu waliofika kuaga mwili wa marehemu Rosemary mama yake na Prof. Jay
Mwili wa mama ukiwekwa kwenye gari kwa ajili ya kupelekwa Kinondoni kwaajili ya mazishi






Mume wa Marehemu,Mzee Haule akiweka Shada la Maua juu ya Kaburi la Marehemu Mke wake aliezikwa leo kwenye Makaburi ya Kinondoni,Jijini Dar es Salaam.
Mtoto Mkubwa wa Marehemu,Akiweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Mama yake.
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Joseph Haule a.k.a Profesa J akiweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Mama yake.
Mtoto wa Mwisho wa Marehemu,Alex Haule a.k.a Simple X akiweka Shada la Maua kwenye kaburi la Mama yake.
Simple X akisaidiwa baada ya kukosa nguvu wakati akiweka shada la Maua kwenye Kaburi la Mama yake.
Mrs Mwamunyange na Kaka yake wakielekea kuweka shada la Maua kaburini.
Mwanamuziki Lady Jay Dee akiweka Shada la Maua.
Watoto waliolelewa na Mama Rosemary wakiwa ni wenye huzuni kubwa baada ya kuweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Mama yao.
Profesa J akimfariji dada yake.
Marafiki wa Profesa J.

PICHA ZOTE NI KWA HISANI YA   PAMOJAPURE, OTHMAN MICHUZI NA AHMAD MICHUZI



1 comments:

Theodore Simon Malya said...

Kaka Joseph Haule pole sn kwa majonzi ya kupotelewa na Kipenzi km Mama. Natumaini MUNGU atawapa nguvu muendelee kuishi kwa amani na kufuata kile mama alichowafundisha. Nimesikitika kama nyie ingawa sikuweza kufika kwenye mazishi. Poleni sana wandugu.

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa