Inawezekana kabisa halimashauri ya jiji la Dar es Salaam imeamua kuendelea kuyaacha kwa maksudi mabango ya ujio wa raisi wa Marekani Barack Obama yakipepea katika barabara mbalimbali za jiji ili kuwafanya wananchi waendelee kuzingatia usafi. Na kama hilo sio lengo lao basi wayaondoe maana nayo yatakuwa sehemu ya uchafu, kumbuka uchafu ni kitu chochote kinachokaa sehemu isiyohusika, kwa muda usiohusika.
Karibu Tanzania
Mabango yaliyowekwa kwenye barabara ya Alhasan Mwinyi yakionyesha ujio wa Obama, ameshaondoka muyatoe jamani!! Nawasilisha...
Picha zote na Dar es Salaam Yetu
0 comments:
Post a Comment