Home »
» RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA MAKAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA MAKAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa wajumbe wa Chama cha
Makampuni ya Simu za mkononi na Bw. Manoj Kohli wa Airtel ambaye pia ni
Mkurugenzi wa Pamoja wa chama hicho alipokutana nao kwa mazungumzo Ikulu
jijini Dar es salaam leo Julai 23, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bi Beatrice Singano, mmoja
wa wajumbe wa Chama cha Makampuni ya Simu za mkononi alipokutana nao
kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 2 Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na maofisa waandamizi wa
Wizara ya pamoja na wajumbe wa Chama cha Makampuni ya Simu za mkononi
alipokutana nao kwa mazuangumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 23,
2013
0 comments:
Post a Comment